KISWAHILI KIDATO CHA 1
Malengo
ya kufundisha KiswahiIi katika Shule za Sekondari
Mafunzo
ya Kiswahili katika shule za Sekondari, yanakusudiwa kuwawezesha wanafunzi:
1. Kutumia Kiswahili kwa ufasaha katika
fani zote za maisha.
2. Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili.
3 Kujenga tabia ya udadisi katika
masuala ya lugha ya Kiswahili
4 Kuelewa kuwa Kiswahili ni sehemu
muhimu ya Utamaduni wa Tanzania.
Malengo
ya Kidato cha Kwanza
Mwanafunzi
aweze:
1. Kueleza maana, dhima na tanzu za
lugha
2. Kufafanua maana, dhima na tanzu za
fasihi
3. Kufafanua maana, dhima na tanzu za
fasihi simulizi
4. Kueleza maana, dhima na tanzu za
sarufi
5. Kueleza maana na maturnizi ya aina
za maneno
6. Kujibu maswali kutokana na habari
aliyosikiliza au kuisoma
7. Kueleza maana na dhima ya
utungaji.
8. Kusirnulia mambo kwa Kiswahili
sanifu
9. Kuandika insha na barua
10.Kueleza maana na dhima ya utumizi wa lugha
11.Kutambua makosa mbalimbali ya kisarufi na kimantiki na
kuyasahihisha
12.Kutumia kamusi
KIDATO CHA KWANZA
1.
LUGHA
2.
FASIHI
a.
Kwa jumla
b.
Fasihi Simulizi
3.
SARUFI
a.
Sarufi kwa jumla
b.
Aina za maneno
4.
UFAHAMU
5.
UTUNGAJI
6.
UTUMIZI WA LUGHA