KISWAHILI KIDATO CHA 1
Malengo
ya kufundisha KiswahiIi katika Shule za Sekondari
Mafunzo
ya Kiswahili katika shule za Sekondari, yanakusudiwa kuwawezesha wanafunzi:
1. Kuturnia Kiswahili kwa ufasaha katika
fani zote za maisha.
2. Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili.
3 Kujenga tabia ya udadisi katika
masuala ya lugha ya Kiswahili
4 Kuelewa kuwa Kiswahili ni sehemu
muhimu ya Utamaduni wa Tanzania.
MALENGO
YA KIDATO CHA PILI
Mwanafunzi aweze:
1.
Kueleza vipera vya tanzu za fasihi
2.
Kufahamu mbinu za kifani za kila kipera
3.
Kufafanua dhima za vipera vya fasihi simulizi
4.
Kutunga na kuhakiki kazi za
fasihi simulizi
5.
Kufafanua maana na dhima ya mofimu
6.
Kueleza maana na dhima ya uambishaji
7.
Kufafanua maana na dhima ya mnyumbuliko
8.
Kunyumbua maneno
9.
Kujibu maswali kutokana na habari aliyoisikiliza au kuisoma
10.
Kubainisha mawazo makuu kutokana na habari aliyoisikiliza au kuisoma
11.
Kufupisha habari aliyoisikiliza
au kuisoma
12.
Kusimulia hadithi na mada anuwai
13.
Kuandika insha, barua, simu na hotuba
14.
Kubainisha utumizi wa maneno
15.
Kueleza dhima ya rejesta
16.
Kutambua na kusahihisha makosa ya utumizi wa lugha
1.
FASIHI
a.
Fasihi kwa jumla
b.
Fasihi simulizi
2.
SARUFI
a.
Mofimu
b.
Uambishaji
c.
Mnyumbuliko
3.
UFAFANUZI WA KILA AINA YA
NENO
4.
UFAHAMU
5.
UTUNGAJI
6.
UTUMIZI WA LUGHA