Kiswahili

Home
Up
Topic 1
Topic 2
Topic 3
Topic 4
Topic 5
Topic 6
Topic 7
Topic 8
Topic 9

KISWAHILI KIDATO CHA TATU

KISWAHILI KIDATO CHA 1

Malengo ya kufundisha KiswahiIi katika Shule za Sekondari  

Mafunzo ya Kiswahili katika shule za Sekondari, yanakusudiwa kuwawezesha wanafunzi:
1. Kuturnia Kiswahili kwa ufasaha katika fani zote za maisha.
2. Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili.
3  Kujenga tabia ya udadisi katika masuala ya lugha ya Kiswahili
4  Kuelewa kuwa Kiswahili ni sehemu muhimu ya Utamaduni wa Tanzania.

 MALENGO YA KIDATO  CHA TATU

Mwanafunzi aweze:
1.      Kufafanua dhima ya  fasihi
2.      Kutofautisha fasihi simulizi na andishi
3.      Kufafanua maana na dhima ya uhakiki
4.      Kuhakiki kazi za fasihi
5.      Kuchanganua chanzo, kuenea na umuhimu wa fasihi simulizi
6.      Kutunga kazi  za fasihi simulizi
7.      Kufafanua maana na dhima ya fasihi andishi
8.      Kueleza tanzu na umuhimu wa fasihi andishi
9.      Kufafanua tabia za vitenzi
10.  Kueleza maana na mpangilio wa ngeli za kiswahili
11.  Kufafanua maana mna aina za tungo
12.  Kuchanganua sentensi
13.  Kujibu maswali yanayotokana na habari aliyoisikiliza au kuisoma
14.  kuandika habari kwa kufuata taratibu za uandishi
15.  Kubainisha lugha ya mazungumzo na ya maandishi
16.  Kutambua makosa ya kisarufi na kimantiki na kuyasahihisha
17.  Kufafanua chimbuko la  kiswahili

1.      FASIHI

2.      UHAKIKI 

3.      FASIHI SIMULIZI

4.      FASIHI ANDISHI

5.      SARUFI
a.      Tabia  za vitenzi
b.      Ngeli za Nomino
c.      Uainishaji Tungo
d.      Uchanganuzi wa sentesi

6.      UFAHAMU

7.      UTUNGAJI 

8.      UTUMIZI WA LUGHA

9.      HISTORIA YA KISWAHILI

 

Home ] Up ] News ] Subject O Level ] Subjects A level ] Services ] Profile ] Contact ]

Send mail to compeddie2000@hotmail.com  with questions or comments about this web site.
Copyright © 1998 ISSAM INTERNATIONAL